Search

107 results for Mwanja Ibadi :

  1. Mwandishi MCL azikwa Liwale

    Mwandishi wa kujitegemea, Mwanja Ibadi aliyefariki Mei 27 amezikwa jana Jumapili kijijini kwao Kiangara wilayani Liwale Mkoa wa Lindi.

  2. Kwikwi chanzo kifo cha mwandishi MCL

    Kifo cha Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Mwananchi mkoani Lindi, Mwanja Ibadi kimetokana na ugonjwa wa kuharisha, kutapika na Kwikwi, imeeleza taarifa ya hospitali.

    New Content Item (1)
  3. Ruangwa washauriwa kulinda afya ya macho

    Katika juhudi za kuunga mkono Serikali ya awamu sita kwenye kutoa huduma za afya nchini, asasi ya kidini ya Alata Charitable Foundation wamefanya uchunguzi wa awali wa macho, kugawa miwani na...

  4. Wananchi Lindi wataka huduma za saratani ziwe karibu

    Wakati Taasisi ya saratani ya Ocean Road ikifanya kambi ya siku tatu mkoani Lindi kwa ajili ya kubaini watu wenye viashiria vya ugonjw ahuo, baadhi ya wananchi wameiomba kusogeza huduma ya...

  5. Veta Lindi yatoa mwarobaini wa ajira kwa vijana

    Vijana waliohitimu mafunzo ya ufundi stadi Veta mkoani Lindi wametakiwa kujiunga katika vikundi ili waweze kukopesheka na kujiajiri.

  6. Askari wakumbushwa uadilifu katika kuwatumikia wananchi

    Askari wa Jeshi la Uhamiaji na vyombo vingine vya ulinzi nchini vimetakiwa kuwa waadilifu, waaminifu, wazalendo na watiifu kwenye watekelezaji wa majukumu yao.

  7. Majangili watatu wanaswa na meno ya tembo

    Jeshi la polisi mkoani Lindi kwa kushirikia wahifadhi wanyamapori Tawa wamewakama watu watatu kwa kutuhuma za kukutwa na meno tembo mazima 28 na vipande 62.

  8. Wahamasishwa kulima mazao kuongeza mapato ya halmashauri

    Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, Hassan Ngoma amewataka wakuu wa wilaya zote zinazounda ushirika wa Chama Kikuu cha Runali kusimamia kwa umakini na kuwekeza jitihada kubwa katika zao la korosho na...

  9. Polisi Lindi yanasa watu 259 makosa ya uhalifu Machi

    Jeshi la Polisi mkoani Lindi linawashikilia watu 259 Kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo kukutwa na meno ya tembo 34 na vipande 14.

  10. Kamati ya Bunge yamulika kasi ya ujenzi Bandari ya Uvuvi Kilwa

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda Biashara, Kilimo, Mifugo na Uvuvi imesema haijaridhiishwa na kasi ya ujenzi wa mradi wa Bandari ya Uvuvi Kilwa na kuitaka Serikali na mkandarasi wa...

Page 1 of 11

Next